Niko dilemma

Niko dilemma

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Kuna demu nilimkataa kwa ishara bila kumwambia ninamueshimu ni rafiki yangu alinipa ushauri sana mpaka washikaji wanapambana awe mpenzi wangu naona ananijali kuliko mpenzi wangu. Bado anapambana anipate Niko dilemma nampenda demu wangu ila kama haamini wanaume maana alishaumizwa ikiwemo Mimi kwenye mapenzi. Nashindwa nifanyaje na huu ukubwa. Ninashida na mwanamke atayenipa mapenzi wakati najipanga kimaisha. Au niachane na habari nao wote nipambane na maisha nitafute tena baadae nijue moja tu nishachanganyikiwa. Ushauri wenu wakuu
 
Hesabu faida na hasara kwa kila mmoja wao kwenye maisha yako halafu fanya uamuzi yakinifu
 
Ata wewe utamuumiza tu maana huelewi nini unataka na yeye mwenyewe haelewi nini anataka
 
Muombe Mungu akupe hekima na maarifa ya kupambanua Jambo
 
Kuna demu nilimkataa kwa ishara bila kumwambia ninamueshimu ni rafiki yangu alinipa ushauri sana mpaka washikaji wanapambana awe mpenzi wangu naona ananijali kuliko mpenzi wangu. Bado anapambana anipate Niko dilemma nampenda demu wangu ila kama haamini wanaume maana alishaumizwa ikiwemo Mimi kwenye mapenzi. Nashindwa nifanyaje na huu ukubwa. Ninashida na mwanamke atayenipa mapenzi wakati najipanga kimaisha. Au niachane na habari nao wote nipambane na maisha nitafute tena baadae nijue moja tu nishachanganyikiwa. Ushauri wenu wakuu
Kama umechanganyikiwa achana nao wote tu
 
Ndio naona jibu linalokuja akilini kwangu hata mimi
 
Ukijitia una moyo wa kikorea bhn utataabika kweli....mkuu naomba namba zao wote hao wawili niongezee kwa hawa nilionao
 
Wamiliki wote then kadri simu / miaka inavozd kwenda utamjua nani ni nan!
 
Back
Top Bottom