lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Binafsi siwezi kurudiana na ex wangu sababu ni udhaifu wa kiwango cha lami.Kuna watu unakuta waliachana na wapenzi wao kwa zaidi ya mwaka mmoja au miwili lakini mwishowe unakuja kusikia kwamba wamerudiana na wako pamoja tena kitu ambacho huwaga kinanishangaza sana.
Unakubali kurudiana na ex wako unajua kwa kipindi ambacho mmeachana na hamkuwa na mawasiliano ametembea na wanawake au wanaume wangapi ? Hili ni swali la msingi ambalo unapaswa kujiuliza kabla ya kuamua kurudiana na ex wako.
Mimi huwaga naona watu kama wanatafuta maradhi ya kujitakia sababu mtu hukuwa na mawasiliano nae kwa kipindi kirefu sasa unatoa wapi ujasiri wa kurudiana nae.
Hii kwenu imekaaje wadau ?