imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Hivi inakuwaje mtu anamuacha mpenzi wake Chumbani halafu anaenda kupiga Chabo?!
Hivi kuna raha gani ya kwenda kuchungulia watu wakifanya mapenzi ndio uamshe hisia zako?!
Unamuacha Mtoto mzuri chumbani halafu unakwenda kwenye madirisha usiku wa manane
Dunia hii ina mambo tena ya kushangaza.