Ushauri: Mama yangu hataki nifanye kazi anataka niolewe

Namkunda OG

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
827
1,048
Habari wanajamii,

Mama yangu hataki nifanye kazi anataka niolewe, nimepata kazi Arusha nimemuaga mama kwamba natakiwa kwenda kuripoti akakataa nikamuuliza
kwanini unakataa akaniambia anataka niolewe na mimi bado sijafikiria kuolewa.

Mimi nifanyeje waugwana.
 
Amekuona una mambo mengi sana. Labda hata hiyo kupata kazi umemdanganya ni unataka kukaa mbali nae ili ufanye yako kwa uhuru...
 
Ukiona hivyo amehisi ukienda huko utawekwa kinyumbaa baadaye urudi na mimbaa
 
Umepata kazi kweli ama umeitwa na bae mkaliwazane? mama hakuamini
yawezekana ndio style aliyotumia kumpata mzee wako
 
Amekuona una mambo mengi sana. Labda hata hiyo kupata kazi umemdanganya ni unataka kukaa mbali nae ili ufanye yako kwa uhuru...
Hapana mkuu..nimepata kaz kweli...na mama tupo nae vzr kwel ..cjawai mdanganya chochote
 
Mmh majanga ila hapo akili kichwani mwako, mama ako hapo huyo rafiki yake anamzingua utaolewa mtapishana hapo na mother ako, wakati ungeenda huko arusha kwenye kazi siku waweza mletea hata kitenge, maana hela za kuomba nazo kwa mume ili umnunulie mama kitenge ko ww jua jinsi ya kumshawishi mother uondoke kwenda kazini
 
Back
Top Bottom