Maneno ya mshua nimeanza kuyaelewa mimi mwenyewe

Changes boy

JF-Expert Member
May 17, 2017
552
362
Mshua alinichana usipooa mwanamke mwenye degree kuendelea usije kuniambia shida yoyote sasa maneno yake nimeanza kuyaelewa anamaanisha Nini? Nilijifanya kichwa ngumu sasa naanza kufanyia kazi maushauri yake yote sifati ya moyoni. Kumbe kipenda moyo lazima utapata tabu bora ufate akili yako tu na sio moyo
 
Endeleeni kudanganyana tu!
 
Hapana mkuu..Basi wana bahati..
Kwahiyo Ukiona mwanamke ana degree lakini hajielewi ujue somo alikumuingia?
wanawake wenye degree wote wanajielewa maana wamekwepa mishare mingi mpaka kufika hapo kama Mimi mwanaume nilivyofika
 
Back
Top Bottom