Ma ex wetu tunaowakumbuka

Ma ex wetu tunaowakumbuka

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,612
Kwakuwa jf most of us tunatumia ID fake ila nimewaza nikaona kwanini kila mke anayeolewa na mwanaume amdanganye kuwa amedate na wanaume wawili au mmoja tu wakati si kweli kisa hana bikra!

Hivyo basi kama wewe ni mwanaume/mwanamke unayejiamini taja majina ya wapenzi wako 10 wa zamani tuwajue maex wa wapenzi wetu ili wakome kutongopea!

Funguka jf is the only platform where we dare to talk openly.
 
Kuanzika kwenyewe hujui ex ndo nn?
 
Ninachokumbuka i had one and she was perfect everywhere!
 
Helena,wambura,tabu,tabia,mke wa mtu,mke wa jamaa,shemeji,aisha,mke a jirani
 
Back
Top Bottom