Kuna wakati waweza dhani kuwa ni swali la kitoto,au kipuuzi vile.Hakika nashindwa kuelewa kabisa juu ya uumbaji wa uke.
Kuna wakati nawaza,hivi Mungu alifikiria nini hata akaumba kitu kitamu...
Habari wanajamvi. Hapa nitazungumzia baadhi tu ya haki za mke kutoka kwa mume ambazo aidha miongoni mwetu hawzifahamu ama wanazifahamu lakini hawazitekelezi. Kutimiza haki hizi kutaongeza mapenzi...
Jana nilikua kituo flani hivi cha daladala jamaa wa Ukwaju akapitisha kideli chake kuna na watu wakanunua mmoja kati yao aliyonunua alikua Me akaifungua na kuanza kula ila style aliyokua anaila...
1.HANDSOME
2. COLOUR =WHITE OR CHOCOLATE
3.TALL
4.AGE=34 TO 44
5.MATURED
6.A BUSINESS MAN SOMEONE WHO TRAVELL DIFFERENT TYPES OF COUNTRIES .
7.SOMEONE WHO SHOWS ME LOVE TRUE LOVE.
8.SOMEONE WHO...
habari wana JF poleni na majukumu ya kazi
Natafuta mchumba ambaye natarajia awe mke wng kama tutaelewana vizuri na kukubaliana.
awe na nidham kwa kila mtu.
awe na elimu kuanzia kidato...
NAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy.
.
.
bhasi kwakuwa...
Unapata Mtoto Mzuri, mrembo ana elimu yake nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo. Wewe hutaki unataka tako! kama sio bangi ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Unapokuwa katika mahusiano ambayo unategemea yaishie katika Ndoa, huwa kuna Taa nyekundu ambazo huwaka kuashiria hali ya hatari kuhusiana na mtu uliyenae kwenye mahusiano.
.
Sikiliza kwa makini...
Nina miaka 24 hadi sasa, mpango wangu wa kuoa ni 2018 {NDOA RASMI). Najua sifa za mchumba zipo ambazo hawezi kujipa yeye bali mipango ya Mungu. Nahitaji walau awe na sifa hizi..
1.Urefu wa...
Huyu ni mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunatarajia kufunga ndoa mwakani mwezi wapili
Alikuwa akifanya kazi katika kampuni (x) hapa dar ambayo mwezi uliopita ilipunguza wafanyakazi kwa ajili ya...
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada...
Siku hizi sio ajabu kuona mabinti wengi wa vyuoni ndio wanaoongoza kwa maadili mabovu hasa vitendo vya umalaya na mambo mengine yanayohusiana na hayo kunani jamani mpaka imefikia kipindi mnaogopwa...
Malezi ni kitu kipana sana ambacho kinahusisha uhusiano wa mtoto, wazazi pamoja na mifumo ya kijamii,kiuchumi na hata mifumo ya kisiasa inayowazunguka.
Kijamii:
Malezi ya mtoto yanachangiwa...
Najua mtanisema sana ila ninaona nimefikia tamati sitaki tena ubachelor nichoka kuishi ado ado kama mtoto wa paka aliyepotea soon nitajitahidi niwe double .
Sijui nyie wenzangu.
Dear ladies,
Let me teach you how to show love to your guy.
Some of you ladies do not know how to show love to the guy you are dating. some ladies think that the only way to show a guy love is by...
Roho inauma ila sina namna kuna binti niliyekua nampenda ila siku za hivi karibuni amebadilika gafla naweza kumpigia simu ata mara 4 hapokei na na Baada ya Mda namkuta Kapost status Whatsapp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.