raamar
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 252
- 23
habari wana JF poleni na majukumu ya kazi
Natafuta mchumba ambaye natarajia awe mke wng kama tutaelewana vizuri na kukubaliana.
awe na nidham kwa kila mtu.
awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,
napatikana SHY TOWN.
mawasiliano kwa aliye tayari ani PM.
asanteni saaana.