Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Siku hizi sio ajabu kuona mabinti wengi wa vyuoni ndio wanaoongoza kwa maadili mabovu hasa vitendo vya umalaya na mambo mengine yanayohusiana na hayo kunani jamani mpaka imefikia kipindi mnaogopwa na jamii badilikeni basi dada za maana ni uchafu mtupu halafu mnajiita wasomi..........kweli naamini msoni malaya ni hatari sana kumshinda yule asiyeelimika hebui wadau tujadiliane kuna ni ni mpaka maadili yameshuka sana vyuoni nowdays