Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekaa hapa katika kuangalia makarabrasha yangu nimekutana napicha zampenzi wangu angali akiwa bado msichana wakati bado ajazaa nimejikuta nimeanza kumpenda tena nakumuhamu. Ama hakika alikuwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa observation niliofanya mtu alieowa, (akimiliki usafiri ni added advantage ) ana nafasi kubwa zaidi kukubaliwa na mpango kando (mchepuko) anapotongoza. . . Sababu mojawapo ni hizi zifuatazo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama mada inavyosema, kumekuwa na malalamiko mengi ya watu walioko kwenye mahusiano au wenye wenzi wao wanaofanya kazi katika mahoteli hasa ya porini kwenye mbuga za kitalii, na pia kwa yaliyoko...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf,MMU Leo mwanakijiji mwenzangu ameamua kujinyonga et kisa kagombana na mkewe!! Sasa nashindwa kuelewa ugomvi tu ndio ujinyonge? Nadhani huenda jamaa alijuwa kuwa anagongewa...
7 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari za eid Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu. Lakini binti...
13 Reactions
336 Replies
23K Views
Baada ya vurugu za hapa na pale ,mpezi wako anaenda kuichomoa mimba ya miezi mitatu bila wewe kujua,siku mbili baadaye anakuja maskani kwako anakukabidhi Tsh 50,000 mkononi,unamuuliza hii pesa ya...
0 Reactions
61 Replies
4K Views
Jamii imeweka sheria isio rasmi kuwa ili mwanaume aweze Ku fit in lazma awe na kazi au biashara nyumba, mke na watoto..Kwa mwanamke si lazma awe na kazi biashara na nyumba, kikibwa aolewe, azae...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
A. Kulumbana Sana B. No sex C. Kucheat D. Kukosa muda na mpenzi wako E. Pesa F. Mahusiano yalikua yana boa G. Addiction ya vilevi au madawa Naomba kuwasilisha
1 Reactions
112 Replies
9K Views
Sijui ni toka zamani au siku hizi mwanaume akikutongoza anataka umkubali sasa ukimkataa atajilalamisha jamani. Mara ooh au kisa mimi sina pesa au au kisa mimi mfupi au kisa mimi sio mweupe etc...
19 Reactions
245 Replies
22K Views
Kati ya mpenzi anaye nuka mdomo na mpenzi anaye koroma usiku kucha kwako bora ni nani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yaani kila mtu na hisia zake. kwakweli napenda mwanamke mwenye K... kubwaaa na Juice yakutosha.... hao wengine unakuta mnasuguana hadi inakauka unaumia siwapendi.... Yaani ukipata ile umeiandaa...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu leo nimewaza sana hili suala la mimi kwenda kuoa, kiukweli sitakuwa na ule uwezo wa kutoa cash money yaani ile pap nitoe milioni 2 huku naitazama hapana, Ila nina mpango siku ya kwenda...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Mwaka 2000s nlikuwa nafanya masters udsm. Nlikuwa na chumba main campus but nlikuwa naishi na jamaa mmoja mlokole sana yaani ilikuwa ngumu kuingiza mademu mle room. Na nlikuwa naheshimiana naye...
27 Reactions
81 Replies
12K Views
SIFA AWE MKRISTO DHEHEBU LOLOTE ISIPOKUWA MSABATO NA SOLOAMU MIAKA 30-35 AWE MCHA MUNGU ASIWE,MCHAGA AMBAYE YUKO TAYARI ANI PM 🙏
14 Reactions
65 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wakuu, Tumaini langu mmeamka salama salmini na wale wenye matatizo ya afya, au mambo mbali mbali ya kimaisha basi mola jalali awape takhfifu na afya njema. Nimefatilia nyuzi...
10 Reactions
89 Replies
10K Views
Mi ni mwanaume natokea nyanda za juu kusini, umri wangu uko ukingoni mwa 20's najitokeza kutafuta mwenza wa maisha ambaye yuko tayari na serious dini yangu mie mkristo, elimu ya kunitosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1st year Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita " Bestfriend" nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
Wana MMU naomba mnifahamishe maana ya slay queen, Mschana akiitwa slay queen anakuwa na tabia zipi Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
35 Replies
11K Views
Back
Top Bottom