Ndoa haijaribiwi.

Ndoa haijaribiwi.

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Unapokuwa katika mahusiano ambayo unategemea yaishie katika Ndoa, huwa kuna Taa nyekundu ambazo huwaka kuashiria hali ya hatari kuhusiana na mtu uliyenae kwenye mahusiano.
.
Sikiliza kwa makini. Kama Mpenzi wako sio aina ya mtu ambaye unatamani uwe nae kwenye Ndoa, Basi Ndoa haiwezi kumbadilisha.
.
Kama kila siku ninyi ni ugomvi tu Jumatatu mpaka Jumatatu, Ndoa haiwezi kuwa-guarantee kuwa na masikilizano baada ya kuingia humo.
.
Watu wawili hawawezi kutembea pamoja wakaifurahia safari kama hakuna Mapatano. Upatano ni muhimu sana katika urafiki, mahusiano na Ndoa.
.
Kama mpenzi wako ni mtu wa kukuumiza kila iitwapo leo, mtu wa kukushusha thamani na kutokukuheshimu usije kufikiri labda Mkiingia kwenye Ndoa atabadilika.
.
Ndoa sio gereji ya kurekebisha tabia. Ndoa ni maisha ya uhalisia. Usiseme unampa muda wa kubadilika, ni vigumu kubadili tabia ya mtu mzima. MUNGU pekee ndiye anayeweza kumbadilisha mtu.
.
Mapenzi yasikupige upofu ukashindwa kuona Taa nyekundu. Wewe ni mtu mwenye thamani yako, sio mtu wa majaribio
FB_IMG_1559520738417.jpeg
 
Siku hizi post zako nizakutendwa tu kwenye hichi chama cha jf kama vipi kua choko uwatende Na wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji848][emoji848]
Siku hizi post zako nizakutendwa tu kwenye hichi chama cha jf kama vipi kua choko uwatende Na wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unapokuwa katika mahusiano ambayo unategemea yaishie katika Ndoa, huwa kuna Taa nyekundu ambazo huwaka kuashiria hali ya hatari kuhusiana na mtu uliyenae kwenye mahusiano.
.
Sikiliza kwa makini. Kama Mpenzi wako sio aina ya mtu ambaye unatamani uwe nae kwenye Ndoa, Basi Ndoa haiwezi kumbadilisha.
.
Kama kila siku ninyi ni ugomvi tu Jumatatu mpaka Jumatatu, Ndoa haiwezi kuwa-guarantee kuwa na masikilizano baada ya kuingia humo.
.
Watu wawili hawawezi kutembea pamoja wakaifurahia safari kama hakuna Mapatano. Upatano ni muhimu sana katika urafiki, mahusiano na Ndoa.
.
Kama mpenzi wako ni mtu wa kukuumiza kila iitwapo leo, mtu wa kukushusha thamani na kutokukuheshimu usije kufikiri labda Mkiingia kwenye Ndoa atabadilika.
.
Ndoa sio gereji ya kurekebisha tabia. Ndoa ni maisha ya uhalisia. Usiseme unampa muda wa kubadilika, ni vigumu kubadili tabia ya mtu mzima. MUNGU pekee ndiye anayeweza kumbadilisha mtu.
.
Mapenzi yasikupige upofu ukashindwa kuona Taa nyekundu. Wewe ni mtu mwenye thamani yako, sio mtu wa majaribioView attachment 1115889

Huyu bibi harusi hata mimi ningemuoa kwa majaribio..anashawishi!
 
Sikia ndugu yangu Nikwambie...kila mtu huingia kwenye ndoa Kwa sababu zake na style yake tofaut na mtu mwingine kabisa... Sasa unapozungumzia ndoa Kwa mtazamo wako usifanye na wengine walioko ktk Mapito ya ndoa zao waone kuwa ni bora break up kuliko kukomaa na ndoa zao...ungewashauri namna ya kuishi na kutatua migogoro yao....mtu alivyokuoa au ulivyomuoa mliKuwa mnapendana.,Leo hakupend na kukujali... Jiulize ni kwann imekuwa hvyo.. Je ni nini sababu ya hilo jambo?,je ni ww Unakosea au yy ndo anakosea, umechukua hatua gan kufix hilo tatzo.... Ifike mahali tujue kuwa ndoa ni Kama serikali, kila serikali na changamoto zake na utawala wake.. Kushindwa kwako ktk ndoa usifanye general conclusion Kwa wengne pia...
 
Unapokuwa katika mahusiano ambayo unategemea yaishie katika Ndoa, huwa kuna Taa nyekundu ambazo huwaka kuashiria hali ya hatari kuhusiana na mtu uliyenae kwenye mahusiano.
.
Sikiliza kwa makini. Kama Mpenzi wako sio aina ya mtu ambaye unatamani uwe nae kwenye Ndoa, Basi Ndoa haiwezi kumbadilisha.
.
Kama kila siku ninyi ni ugomvi tu Jumatatu mpaka Jumatatu, Ndoa haiwezi kuwa-guarantee kuwa na masikilizano baada ya kuingia humo.
.
Watu wawili hawawezi kutembea pamoja wakaifurahia safari kama hakuna Mapatano. Upatano ni muhimu sana katika urafiki, mahusiano na Ndoa.
.
Kama mpenzi wako ni mtu wa kukuumiza kila iitwapo leo, mtu wa kukushusha thamani na kutokukuheshimu usije kufikiri labda Mkiingia kwenye Ndoa atabadilika.
.
Ndoa sio gereji ya kurekebisha tabia. Ndoa ni maisha ya uhalisia. Usiseme unampa muda wa kubadilika, ni vigumu kubadili tabia ya mtu mzima. MUNGU pekee ndiye anayeweza kumbadilisha mtu.
.
Mapenzi yasikupige upofu ukashindwa kuona Taa nyekundu. Wewe ni mtu mwenye thamani yako, sio mtu wa majaribioView attachment 1115889
Sawa sawa brother. Ujumbe wako ni mzuri sana.

Katika mahusiano tunayopitia, mara nyingi taa nyekundu hutokea na tunazipuuzia.

Huwa tunazipuuzia kwa kuongozwa na mihemko flani (uzuri, pesa, gari, nyumba, n.k ) na kujifariji kwa kuifanya ndoa kuwa gereji kuwa tutarekebishana! Kitu ambacho kinatugharimu baadae.

Thanks kwa ujumbe
 
Back
Top Bottom