True umeongea kweli ukweli wakutoka moyoni*Unapata Mtoto Mzuri, mrembo ana elimu yake nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo. Wewe hutaki unataka tako! kama sio bangi ni nini?*😂😂😂😂🏃🏃
Kwani ww huna tako.. Ila vyote unavyo?True umeongea kweli ukweli wakutoka moyoni
Mimi ninayo tako ila sio kubwa kama basi halafu hivyo ni siri yanguKwani ww huna tako.. Ila vyote unavyo?
Nakazia[emoji23][emoji23][emoji23]
ww una pasiii aka flat screenMimi ninayo tako ila sio kubwa kama basi halafu hivyo ni siri yangu
Kazi nzuri ninayo, pesa ninayo nimejitosheleza, sura hata mbuzi anayo, kila mtu anatamani kitu ambacho ye hana. Samahani nimekomenti kwa niaba ya Extrovert
Ila izi perspective zakulinganisha tacore kama kitu chakumfanya a man akuthamini ni iko misplaced kabisa binafsi i fck the brains i know beauty fades apo ndo kesi huanza.Mimi ninayo tako ila sio kubwa kama basi halafu hivyo ni siri yangu
Kumbe unamfahamww una pasiii aka flat screen
Hata hivyo vingine sinaUnavyo onekana ww huna sura Wala matako ila vongine unavyo