Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
Kuna wakati waweza dhani kuwa ni swali la kitoto,au kipuuzi vile.Hakika nashindwa kuelewa kabisa juu ya uumbaji wa uke.
Kuna wakati nawaza,hivi Mungu alifikiria nini hata akaumba kitu kitamu vile?. Yaaani,kitu kinakusisimua,kiasi kwamba unahisi una mapepo au kunena kwa lugha.
Kuna wakati unakuwa kama chizi vile,huku ukiwa na dalili zote za uzombie mara tu uume uwapo kunako tunda.Kuna wakati huwa najikuta tu naropoka na kutoa ahadi ambazo hazitekelezeki niwapo na mama watoto.Sipati picha kwa wenye michepuko inakuwaje.
Mke kuitwa mama yako ni kawaida tu kunako tendo.Mechanisms zipi na materials gani Mungu kayatumia?. Eeeeeh bhana eeeeeh!!.Hakika,sishangazwi na yeyote yule,aangukaye kutokana na lile tunda.
Ndugu zetu waislamu,migegedo mema. Najua leo zitapigwa pu...mbu si mchezo.Tukaribishane kwenye makyulyaaaaaaaa.