Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

feysher

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,656
2,762
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
 
Wee wakati unampa hiyo namba mawazo yako yalilenga nini hasa

Hulka za wanaume!!
 
Hata mimi ningeishia kukutafuna.
 
Ndohayo tu
Unaweza kumuelewesha tu halafu akarejea kwenye mstari "----

Mtu kukupenda au kukutaka Kimahusiano " hizo ni hisia zake tu -- haimaanishi kwamba mnapaswa kusafiri pamoja kihisia na kumkubalia kuwa wote inluv .. .

Waweza kumuueleza lengo la urafiki wako nayeye kama ni understanding person atakuelewa tu ....na kuamua kushirikiana nawewe katika future plan zako "....

Mwanamke kutongozwa katika mazingira ya utafutaji hiyo ni kawaida ...that's why kina maria carey .Celine Dion hawa wote waliwahi kuwa kwenye mahusiano na managers wao -- lakini still kazi zao zilipata mafanikio makubwa".. haimaanishi kwamba ukiwa kwenye mahusiano na mshirika mwenzako kibiashara ni lazima itachangia kuwaangusha kimalengo''....

Ijapo kuwa kuna nyakati mahusiano kama hayo huwa yana pelekea kuharibu malengo ..yakupasa ufahamu kwamba maisha tunayo ishi yana beba ajali nyingi"..... so kama umemuelewa na unaona ni right person kuwa nae inlove
 
Honestly inawezekana...inategemea na mwanamke mwenyewe alivyo jipanga. Mwanamume kaumbwa na tamaa na kutongoza ni asili yake,anaweza kumtongoza yeyote mwenye K.!! Na hiyo haimaanishi anampenda. Kuna shida kidogo kwa mwanamke lakini inawezekana. Nimesoma shule yenye ratio ya 30:6 utawapa wote?
 
Back
Top Bottom