Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hbr wanajamvi .Mm ni mkristu na mke wangu ni muislim sasa tumeshindwa tufungie wapi hii ndoa yetu msaada tafadhali wenye uzoefu
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari za siku wana JF wote, Kama kichwa cha mada kinavosema, Niende moja kwa moja kwenye mada husika, kuna baadhi ya wanawake huwa wako tofauti sana yaani yeye kila siku umuombe wewe utamu...
3 Reactions
113 Replies
28K Views
Kamwe usiruhusu vitu au watu kukuumiza moyo wako kila muda. Maisha ni mafupi mno kuwa na huzuni kila mara. Kila siku mpya inayokuja ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hivyo basi, ishi huku ukifurahia...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
huyu mwanamke kawaje?! hembu someni hii nilikuaga na mwanamke wangu nikapotezana nae mda kidogo nilipoteza contact zake!, leo nimepata namba zake kwa best yake nikamvutia mkonga duuh! wakati...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Waungwana salama!! Kuna hii tabia ya wadada naona inaota mizizi mitandaoni ya kuomba omba omba kama matonya wa Dom Unakuta mdada anakufuata inbox iwe fb,insta,Badoo au dating.com unapiga nae...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kumekuwa na tafasiri potofu kuhusu nguvu za kiume. Msingi wa tendo la ndoa ni kwa ajili ya uzazi...lengo lake ni kuendeleza uzazi wa viumbe. Ili kufanikiwa na kuhakikisha unatungisha mimba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nlikumbuka kisa kimoja cha jamaa ambaye alikuwa anaishi na jirani yake na kugundua jiraniye anamla mkewe Basi siku ya kwanza akaamua kwenda kwa huyo jiraniye Bwana Sijali na kumkuta...
4 Reactions
54 Replies
10K Views
Mwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
4 Reactions
164 Replies
10K Views
Nilimwambia Unapomaliza Form 6 Tabia Yako Nitaipima Ukifika chuo Maana Huko Unaenda Kuwa na Uhuru Na kama ukishinda Vishawishi Vya Chuo Basi Ndipo Nitawaza Kukuoa Leo hii Mtihani Umemshinda...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ujue wadada wa Kitanzania wana akili mbovu na za kimaskini sana!!!hasa hawa wa uswahilini kina Mwajuma,Somoe,Maimuna,Fatuma, Tatu,Mwanaidi,Anna,Rachel,Angel Wewe umepata bwana unaona ana hela na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawahakikishieni hakuna mapenzi ya kweli. Naamini hata Adam angemsaliti Hawa. Chamsingi nikukomaa na ulienae hata kama anachepuka mvumilie life lisonge mbele.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu, kuwa ni maeufuku kumsomesha mchumba wako. Hili tulishalifunga na atakae tuletea malalamiko tutampiga kwenzi kuu, ndio tunampa ushauri. Sambamba na hilo...
10 Reactions
79 Replies
6K Views
Nimesukumwa na uzi ulosema 'mchumba hauguzwi'. Wakati unamsaidia mtu, usitegemee sana kulipwa fadhila na huyo. Iwe mkeo, mchumba, ndugu, jirani hata rafiki. Hii itapunguza 'stress' za...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
wanabodi kuna hali niliwahi kukutana nayo na juzi juzi pia imenitokea. iko hivi kuna binti mkali sana nilimfukuzia nikafanikiwa kudate nae lakini huwezi amini baada tu ya bao la kwanza mzuka...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
*DUH AMA KWELI NDOA ZINA MAMBO[emoji16][emoji16]* Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo...
0 Reactions
4 Replies
885 Views
Nakumbuka ndo nilikuw nimeanza date na manz mmoja hiv sasa bana siku moja tupo ndani chumba self nikabanwa na tumbo balaa uharisho sio wa nchi hii nikazama ndichi bila kuangalia kama maji yapo au...
11 Reactions
44 Replies
6K Views
In short wanawake wanapenda sana pesa, ndomana utaskia nataka mwanaume mwenye pesa ila sisi makapuku hatuna nafasi kabisa, cha ajabu hao wanaume wanaowakimbilia wanashindwa kuwamudu ,Mwisho wa...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote. Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani. Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya...
7 Reactions
104 Replies
14K Views
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada ni hivi. Nilikuwapo kwenye mahusiano na mabinti wawili hivi. Huyu wa kwanza anaonekana ana mapenz ya dhati kwangu japo tulisha achana,kwa sababu ya yeye...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…