Ushauri, usije weka Malengo na mwanamke wa chuo.

Ushauri, usije weka Malengo na mwanamke wa chuo.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Nilimwambia Unapomaliza Form 6 Tabia Yako Nitaipima Ukifika chuo Maana Huko Unaenda Kuwa na Uhuru

Na kama ukishinda Vishawishi Vya Chuo Basi Ndipo Nitawaza Kukuoa

Leo hii Mtihani Umemshinda Anakunywa Pombe,Club kwa Sana Na Naamini Atakuwa Na Mwanaume zaidi ya mmoja.

Kwanini wanawake wengi wanaharibika chuo?? Kuna nini huko??
 
Wanawake na wanaume wote wanaharibika wakifika ngazi ya chuo au kuwa na Uhuru.
No exception.
 
Hivi miaka hii bafo watu wana bet kweli????
IMG-20190624-WA0008.jpeg
 
mwingine huyu kampeleka mkewe chuo


 
hakuna tofauti ya demu wa chuo na demu wa mtaani,, kama mwanamke anamsimamo na tabia nzuri atabaki kua hivyo haijarishi yupo huru au anabanwa na wazazi/ndugu zake..
wapo wanawake wanafika chuo na bado tabia zao zinabaki kua nzur. Mwanamke hata abanwe vipi kama ni tabia yake mbovu atakua anatoroka tuu na kufanya hayo mambo..
 
kama ulikuwa humkazi vizuri akakutana na wakazaji lazima uachwe;;;;; ..... issue ya uhuru haiingii hapa maana hata ukifunga naye ndoa bado kama HUDUMA ni zero utachapiwa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nimecheka kama mazuri ila daaah mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom