Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Mwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
ha ha ha ha haKwann Africa tunashupalia sana wanawake kuolewa?
Tunawauliza kwann hawaolew wakat ata muulizaj ukute bado hajaoa.
Ndiyo maana wanawake wenye upeo mdogo wanakuwa desperate.
We umeowa wangapi?Mwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
View attachment 1131891
ha ha ha ha mmoja tu mkuuWe umeowa wangapi?
Mkuu hili swali usiwe unawauliza wanawake mara kwa mara, ivi kwa akil ya kawaida kuna mwanamke mwenye sifa ulizozitaja hapend kuolewa kwa makusudi?ha ha ha ha ha
Tupe sababu kwa nini?wakati kuna nyuzi za me wengi wanatafuta wachumba?Msituchoshe na hizi nyuzi kuolewa ni bahati kuzaa ni majaaliwa
Kwani kila mtu anafaa kua mchumba??Tupe sababu kwa nini?wakati kuna nyuzi za me wengi wanatafuta wachumba?
Acheni wanawake wale bata, wachague wanaume wanaowataka na waolewe/kuoa wanakoona kunafaa.ha ha ha ha mmoja tu mkuu
ha ha ha ha hata kuku jike umfuata jogooAsa kwanini niolewe?
Achana na kuku..toa sababu za kibinadamuha ha ha ha hata kuku jike umfuata jogoo
ha ha ha ha wakifikia miaka 40+ hawajaolewa huwa wanakuwa na akili za kitotoMkuu hili swali usiwe unawauliza wanawake mara kwa mara, ivi kwa akil ya kawaida kuna mwanamke mwenye sifa ulizozitaja hapend kuolewa kwa makusudi?
Afadhal aolewe akiwa 35+kuliko kuolewa na mwanaume anaejisifu na michepuko kila kukicha.
Ukikua utajua namaanisha nini....Si uolewe wewe mkuu? mbona unawalazimisha wenzako.
Kuna umri ukifika utatamani hata mlevi wa gongo akuoeKwani kila mtu anafaa kua mchumba??
Uko sahihi mkuu,lakini bila kuwa na jitihada usitegemee bahatiAchrni wanawake Acheni wanawake wale bata, wachague wanaume wanaowataka na waolewe/kuoa wanakoona kunafaa.
Mimi naamini kuolewa ni bahati haijalishi mwanamke kasoma au hajasoma, anakazi au hana
Yaani Wewe ungekuwa umeshakua usingeuliza swali la kijinga kama hilo.Ukikua utajua namaanisha nini....