Duuh! ndio tumefikia hukuuu wewe mwanamke?!?!

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,328
Reaction score
16,824
huyu mwanamke kawaje?! hembu someni hii

nilikuaga na mwanamke wangu nikapotezana nae mda kidogo nilipoteza contact zake!, leo nimepata namba zake kwa best yake nikamvutia mkonga duuh!

wakati nimempigia naongea nae kwa simu namuomba tukutane et anasema "hela yako tuu!!"

haahaha, ikabidi nikate simu kwanza maana sikuelewa somo!

nampandia hewani tena kwa mara ya pili kwa kuhisi labda hajajua anaongea na nani labda kachanganya namba, namcall tena, kapokea et "kwan comrade wewe unashngap nije!?"

nikaishiwa pozi ikabid nimkatie simu tuu aseee mana hakua hv..

inamaana kaamua kua mjasiria mali kwa kiungo chake cha mwili au?!
 
Madem wengi mkiiachana mkirudiana hufanya hivyo na atakupangia dau flani kubwa ili mambo yakuwie ugumu ila jitoe ufahamu panga nae bei kisha mkishatiana nyama nawe andaa mazingira ya kurudisha ulichokipoteza inaitwa usenge usengeni
 
hahaaha au nimuite akija nikimalza nimtapeli
 
Mwambie una laki moja akija unampa ten ya sabuni.
 
Fanya kumalizana nae halafu utupasie na sisi huku, maana huyo alishakuwa public good.

Nina vijisent hapa vinaniletea jam mfukoni.
 
Madem wengi mkiiachana mkirudiana hufanya hivyo na atakupangia dau flani kubwa ili mambo yakuwie ugumu ila jitoe ufahamu panga nae bei kisha mkishatiana nyama nawe andaa mazingira ya kurudisha ulichokipoteza inaitwa usenge usengeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom