Kizungumkuti cha mahusiano

Tumilaujanja

Member
Jan 7, 2019
75
15
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada ni hivi.
Nilikuwapo kwenye mahusiano na mabinti wawili hivi.

Huyu wa kwanza anaonekana ana mapenz ya dhati kwangu japo tulisha achana,kwa sababu ya yeye kushindwa kuvumilia kweny mahusiano.

Mim nikaona isiwe tabu nikampiga kushoto japo yeye ananijar sana japo Mimi nipo mbali naye.

Maan huyo jamaa aliye MPA mimba kamkataa sasa yeye anasema ananipenda Mimi et,wakat Mimi simpend yaani nitabu tupu .

Muda mwingine anakuja kwangu na mimba yake anaomba et nimpende nisimuache ,dah wakati Mimi nipo mbali na hisia zake.

Msichana wapili,huyu msichana nilimpata baada ya Huyu wa kwanza kupata mimba,japo yule wakwanza nilionyesha upendo wa uongo ili kumridha tu.

Sasa bhan nikawa naenda nao wote ivo ivo japo wa kwanza simpend, ila huyu wa pili nilikuwapo nampenda sana .

Pili huyu msichana wapili nilimwamin sana na nilimpenda sana na pili yeye alikuwa mwaminifu Sana kwangu

Nikaendelea na mahusiano na Hutu msichna wa pili ,lakini pia na yule wakwanza anyelazimisha love wakat anmimba ya MTU mwingine nikaendelea kumpa bortion love,ili nisi mvunje moyo.

dah kumbe nilikuwa nakosea,bila kujua,hata sasa Hutu msichana wa pili Nate nilikuw naendelea naye kwenye mahusiano huku wote tulikuwa tukiaminiana sana .

Dah ivi hawa viumbe wa kike ni ni nani huwa anawaloga.
dah nakumbuka Sikh iyo aliniambia anashida na buku,
mimi nikaona isiwe tabu nikamwambia tukutane mahali fulani yeye kasema amechoka ko nimfuate.

mimi nikaona isiwe kesi nikaondoka zangu kwenda kwake ile nakaribia kufika kwao akesema usije kuna Dada ake kaja kwaio nisiende nimsubiri kwa rafiki ake,Mimi nikaona isiwe kese huyo nikaenda kwa jamaa yangua moja alikuwa anaishi mitaa ya kwao.

baada ya Masaa mawili ivi nikamtumia message kuwa Mimi nahepa,akanijubu powa tu ,nikasema inamaan umehairisha kuchukua buku yako

dah nilishangaa sana ,et kasema naona siku izi umeanza jeuli nikasema jeuli gani hanijibu.

dah mi nikaona isiwe kes nikaondika zangu na mshikaj wangu .

nahpo ndipo ilikuwa ni chanzo cha kubadilika kwa yeye yaan hata sielew sababu kuuu ya yeye kunivhukia Mimi maan hata hata kuniona na message zangu hazijbu simu hapokei ,afu ukizingatia nampenda sana Hutu binti.

nimejaribu kutumi kila mbinu hanielewi yaan nikimuuliza chanzo cha yey kunichukia anasema namvurugia tu ratiba ,

hebu wadau wa jamii forum nimekosea WAP mpka hiki kiumbe kinanivhukia namba hiii,ushauri wenu please yaan mpak sasas sijatambua kosa language ni lipi.

NA hiki kiumbe cha kwanza yaani ndo kabsa saiz ndo kinazidisha kunipenda wakati Mimi sikitaki afu kinamimba ya jamaa muingine,ruti za home kila siku utafikiri mganga wa zamu .

dah wakuu naomben ushauri juu ya mahusiano maan Mimi naona kizungumkuti ,naona hawa viumbe wananiletea noma tu!!dah
 
Hakujibu msg kwa sababu hazieleweki jitahidi kumuandikia vizuri akielewa atakujibu tu.
 
Mkuu nikupe tu taarifa kipindi unamsubiri kwa mshikaji alikuwa anagegedwa, hivyo hayo unayo yaona ni matokeo ya Mtanzania mwenzetu kusimamia kucha...

Niombe tu uwe mvumilivu katika kipindi hiki kigumu na uachane na wote

Thank me later
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom