Eti !! Kwanini Dada zetu hamuwezi dumu kwenye Mahusiano na mtu mwenye pesa??na mnadumu na sisi makapuku??

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,042
In short wanawake wanapenda sana pesa, ndomana utaskia nataka mwanaume mwenye pesa ila sisi makapuku hatuna nafasi kabisa, cha ajabu hao wanaume wanaowakimbilia wanashindwa kuwamudu ,Mwisho wa siku wanarudi kwetu kwa sisi makapuku ambao hatuna pesa.

Dada zetu mtuambie leo huko mnakokutaka mbona kunawashinda why?? Si mnasema pesa inaleta furaha kwenye mapenzi?? Why kunawashinda??

Comments ziwe fupi fupi jamani...
 
inaonekana mapenzi yaliletwa na nguvu au mamlaka yenye uwezo mkubwa sana kiakili......yali-undwa yawaguse matajiri na makapuku kuweka balance asili......ndiao maana matajiri wanalia ndoa hazikaliki kwa sababu ya pesa na masikini analia ndoa hazikaliki kwasababu ya pesa
 
Equilibrium
 
Pesa si kila kitu kwenye mahusiano bali pesa hurahisisha baadhi ya matatizo katika mahusiano.

1. Akili
2. Pesa
3. Mhudumie
4. Shows
5. Upendo kiasi.

Ujue pia kuna ambao hawajui hata wanachotafuta kwa mwanaume.
 
Sure
 
Inategemea mtu na mtu!
Wangu niko nae miaka tisa sasa, alikuwa analala kwenye chumba chenye godoro tuu!!

Baada ya miaka tisa hapa alipo sasa hivi ni mtu mwingine kabisa!

Ulimkuta hana ila now anacho hapa sawa
 
Hawadumu kwa sababu. Akishakuona unazo. Akiamka tu anakusalimia. Ukijibu anaomba hela. Baadaye mchana atakusalimia. Atakwambia nikwambie kitu. Ukijibu tu. Atakuomba hela. Sasa hata kama mtu ana pesa anachoka kuombwa kila wakati. Utampa hata 200,000 kesho yake atakuomba.
Hawajengi mazingira ya kupenda ili mwenye pesa atoe kwa raha zake. Hawajui kuwa wanatakiwa kudanya kuwa wanapenda. Pesa zitatoka tu.
Halafu hata wakipewa hawatulii kuinyesha uaminifu hata wa uongo.
 
Back
Top Bottom