Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,764
Waungwana salama!!
Kuna hii tabia ya wadada naona inaota mizizi mitandaoni ya kuomba omba omba kama matonya wa Dom
Unakuta mdada anakufuata inbox iwe fb,insta,Badoo au dating.com unapiga nae story 2 3 anaanza kujilalamisha hali ngumu sijui kafulia mara kodi Mara anaumwa
Hujakaa sawa unapigwa kizinga tena wengi wanaingia kwa gia ya kuomba hela ya bando,dawa nakadharika
Demu mmefahamiana dakika chache tu anaanza ujasiri wa kuomba omba
Hizo njaa zenu zitawapeleka kubaya yani unamfuata mtu inbox kwa lengo la kutangaza umaskini wako mnakera mnooo wadada njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app