Kamwe usikate au usikatishwe tamaa pale wale unaowategemea au yale unayoyategemea yanapokuwa ndivyo sivyo.

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,934
2,000
Kamwe usiruhusu vitu au watu kukuumiza moyo wako kila muda.

Maisha ni mafupi mno kuwa na huzuni kila mara. Kila siku mpya inayokuja ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hivyo basi, ishi huku ukifurahia hii tunu ya kipekee kabisa

Jiondoe katika yale mambo yanayokukosesha amani na furaha. Wakiwemo na wale wapumbavu wanaokuchukulia poa..Wewe ni mshindi..unastahili yaliyo bora, kuliko zawadi ya maumivu unayopewa kwa sasa.

Thiredi hii ni maalumu kwa wote wanaoteswa / waliowahi kuteswa kwenye mapenzi, najua wahanga mko wengi/tuko wengi.
♀♀♀♀♀
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,317
2,000
Yes.. hii post ningeipata miaka miwili iliyopita ingenisaidia sana. I went through hell and pain.. all in the name of love.
Even though iliisha vibaya, nikaumia mbayaa sana.. lakin bado napumua bado nasonga mbele.
I know everything will be okay one day
 
feysher

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,694
2,000
Kamwe usiruhusu vitu au watu kukuumiza moyo wako kila muda.

Maisha ni mafupi mno kuwa na huzuni kila mara. Kila siku mpya inayokuja ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hivyo basi, ishi huku ukifurahia hii tunu ya kipekee kabisa

Jiondoe katika yale mambo yanayokukosesha amani na furaha. Wakiwemo na wale wapumbavu wanaokuchukulia poa..Wewe ni mshindi..unastahili yaliyo bora, kuliko zawadi ya maumivu unayopewa kwa sasa.

Thiredi hii ni maalumu kwa wote wanaoteswa / waliowahi kuteswa kwenye mapenzi, najua wahanga mko wengi/tuko wengi.
♀♀♀♀♀
Amen
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom