Kumekuwa na tafasiri potofu kuhusu nguvu za kiume. Msingi wa tendo la ndoa ni kwa ajili ya uzazi...lengo lake ni kuendeleza uzazi wa viumbe.
Ili kufanikiwa na kuhakikisha unatungisha mimba inabidi mwanaume atoe mbegu a.k.a a come haraka iwezekanavyo. Mtu anaye come haraka ana nguvu nyingi za kiume na ana nafasi kubwa ya kuzalisha kuliko yule anayechelewa ku fika mshindo.
Kwa lengo la kibiashara hii dhana imegeuzwa. Wale wenye nguvu nyingi za kiume wanaambiwa hawana nguvu na wasio na nguvu ndo wanaambiwa wananguvu.
Kimsingi dawa au kitu chochote ambacho ukitumia kinakufanya usifike mshindo haraka basi kitu hicho kinakupunguzia nguvu za kiume.
Kwa lugha nyingine ni kwamba watu wamekuwa busy kupunguza nguvu za kiume kwa kutafuta vitu ambavyo vinaweza kufanya wakachelewa kupiga mshindo.
Najua wenye akili pekee ndo watakaonielewa.