UNAOGOPAJE KUWA MIMBA NI YAKO WAKATI HUJAWAHI KUFANYA MAPENZI NA HUYO MWANAMKE?!

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Skii skiiiiii
Ohhooooo mtaani wananiita messi jinsi ninavyotiririka! It's me agaaain comrade kipepe a.k.a kipepe the giant! A.k.a KING OF THE JUNGLE! a.k.a mshambuliaji wa BUSH FC"!!

Ebanaae Nina jamaa yangu mmoja hivi ni domo zege mbaya, uzito wa domo lake ni zaidi ya tofali la block!

Ana miaka kama 27 hivi! Hajawahi kugonga demu aseee na yeye mwenyewe analikubali hilooo!

Ebana kumbe mwanaume asipokula k anakua kama chiziii!

Duuuh! Jamaa alipata kadem kamoja hivi kama zali yani halafu ni dent wa form IV, jamaaa hajawahi kukala kabisa yani et Leo kadem kamemuambia jamaa kua kana mimba jamaa anahaha, anaogopa miaka 30 jela, namuuliz kwani ulishakagonga? Anasema hapana! Hahahahaa sasa namuuliza mimba itakua imeingiaje eti ananiambia kuna siku kadem kalimnyonya mb+o..

Ebanaae jamaa linataka kupigwa pesa ya kutolea mimba! Kadem kajanja kamemshtukia jamaaa ni zuzuuu! Ana kaukichaaa nyakati hizi kukiwa na mawingu na baridi..."!

Ebanaaae comrade nasemaje!!? Tufanye mapenzi inasaidia afya ya akili.

Mimi fyaaaaa kama mshaleeee
 
Back
Top Bottom