Kitabu: kwa wanaotaka kuwa huru kifikra

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,626
9,173
Wakuu,

Baada ya kutembea na wanawake mbali mbali, Siku moja nilijikuta natafakari kuwa ni kipi hasa nilichofaidika nacho kutoka kwa hawa wanawake ? Jibu liliuwa moja tu ni hakuna cha maana nilichofaidika nacho zaidi ya sex, nikaona huu ni ujinga, kuanzia siku hiyo sikutaka kabisa mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa aina yeyote.

Ndipo liliponijia wazo la kuongeza maarifa zaidi kuhusu kuishi bila kuwa na hisia za kimapenzi, ktk kutafuta kitabu nikakutana hiki nilichokiambatanisha hapo chini, hakika nilichelewa,


Nimeona si vibaya nikishare nanyi kitabu hiki
View attachment brahmacharya.pdf
 
Kipindi hicho wewe unatoka wengine ndio tunaingia rasmi usituchagulie maisha mkuu kisa yamekuritire
 
Kipindi hicho wewe unatoka wengine ndio tunaingia rasmi usituchagulie maisha mkuu kisa yamekuritire
Mimi sikupangii, Bali nashare nanyi maarifa niliyoyapata kupitia kitabu hicho nilichokipandisha hapo juu,

Suala la uamzi ni lako binafsi, hakuna mahali popote pale nilipo mlazimisha mtu
 
Back
Top Bottom