Siku hizi Mwanamke hapigwi mimba kizembe zembe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,802
Reaction score
60,648
Dah siku hizi maisha yamekuwa maisha yaani unaweza usipate hata mwanamke wa kumtia mimba akuzalie mtoto.yaani wanawake wanacheza kwa step sana.wanawake wamejitambua kiasi Cha kufikia wanaozaa kuonekana labda hawajasoma hawajielewi.au labda binti ajue maisha ya kwenu sio mabaya mnaweza kulea mtoto.ila hawazai na wewe Kama unazunguka zunguka tu huna maisha huna hela.
 
Sema wewe ndio huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba.
 
vizuri kama hawataki kuzaa hovyo maana yake sasa tutagegeda bila wasiwasi wa kutia mimba.

lakini kwa upande wa pili inaonyesha kuwa katika mahusiano haya hamna upendo ni watu tuu kuangalia wapi pana future hahaha. duh wacha niwagegede tuu kambi siweki kamwe.
 
Dah siku hizi maisha yamekuwa maisha yaani unaweza usipate hata mwanamke wa kumtia mimba akuzalie mtoto.yaani wanawake wanacheza kwa step sana.wanawake wamejitambua kiasi Cha kufikia wanaozaa kuonekana labda hawajasoma hawajielewi.au labda binti ajue maisha ya kwenu sio mabaya mnaweza kulea mtoto.ila hawazai na wewe Kama unazunguka zunguka tu huna maisha huna hela.
CCM IMESABABISHA YOTE HAYO
 
nilikua nafikiria kuanzisha kampeni ya kuzuia mimba zisizo na mipango umu JF alafu wanawake wa humu wawaelimishe na wenzao wa uko nje ila naona ata wa umu bado bado sana japo wachache wanaelewa, huwa nashangaa sana mwanamke kutumia smartphn anaweza vizuri tu lakini kutumia iyo simu impe elimu ya kuzuia mimba anashindwa alafu anakuja kusema apa kua kapata mimba bila kujua, honestly huwa namdharau sana uyo mwanamke.
 
Dah siku hizi maisha yamekuwa maisha yaani unaweza usipate hata mwanamke wa kumtia mimba akuzalie mtoto.yaani wanawake wanacheza kwa step sana.wanawake wamejitambua kiasi Cha kufikia wanaozaa kuonekana labda hawajasoma hawajielewi.au labda binti ajue maisha ya kwenu sio mabaya mnaweza kulea mtoto.ila hawazai na wewe Kama unazunguka zunguka tu huna maisha huna hela.
Nafikiri hizi kelele za singo mama zimewatia akili

Besides,mdada unaanzaje kuzaa kizembe zembe
 
ha ha ha ha inategemea mkuu,kuna mwingine anakuwa hataki kabisa kubeba mimba,sasa kutokana na ujuzi wako unamkoleza mpaka anachanganikiwa,mwishowe anakuambia umwage ndani...
 
Haya nyie jipeni moyo kuwa hawashiki ila jamaa yangu hapa ndio tunatafuta njia ya kumuepusha amekwisha mtia mimba mtu
 
Back
Top Bottom