MWACHE NABII WANGU,AU MIMI NA WEWE TUACHANE!

MWACHE NABII WANGU,AU MIMI NA WEWE TUACHANE!

wainga

Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
73
Reaction score
67
Mrembo mmoja nchini Zambia amemwambia mumewe kuwa,yupo tayari kuachana nae kama hatafuta shauri mahakamni kuhusu nabii ambaye mumewe amempeleka mahakani kwa kosa la kupapasa maziwa ya mkewe pamoja na kumshika sehemu zake za siri ili kuweza kushika ujauzito!
Huyu mrembo aliongeza kuwa, mbona wauguzi wa kiume huwashika wanawake sehemu zao za siri wakati wa kujifungua na hawajawahi kupekelekwa mahakamani?iweje yeye ampeleke mahakamani NABII wakati yeye hata hajaziona hizo sehemu zake siri bali amezishika tu?

Ndugu zangu hii imekaaje?
 
Wanawake wanaoshikiwa akili na viongozi wa dini sio wa kuoa.
Wengi huwa Ni mahawara wao na familia inaweza kuyumba kwa kupitia huyo mwanamke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom