Wanawake wafuatao huwa sikubali ombi lao la urafiki facebook.

Tellurium

Senior Member
May 30, 2019
132
154
Habari wana jf,

Kulingana na kichwa uzi wanawake wenyewe ni kama wafuato:-
1:Sura mbovu kama au sura kama lemi ongala

2:Awe jimama yani nalichinjilia mbali!

3:Awe ameweka picha yeyote ya mwanaume kwenye profile au kwenye post zake.

4:Awe mweusi kama Idd Amin hanifai.

5:Awe hareply comments za watu kwenye post zake najua huyo ana dharau hanifai.

6:Awe hajaweka profile picture au hajaweka recent time.

7:Awe ameweka picha ya mtoto yani hawa ndo wananiharibia mood kabisa.

8:Awe amejichubua kawa kama pundamilia namfutilia mbali.

Kwa kumaluzia yani ninefungua account mpya FB yani kila siku friend request za madem hazipungui 70,kwa hiyo mimi nikuwa fanyia usahili tu kupitia vigezo vyangu.

Yani marafiki zangu wote FB ni wasichana warembo warembo tu.Pia sikubaligi friend request za wanaume nisio wafahamu.

Uzi tayari.
 
Haya ungeenda kuyaandika huko facebook ili wayasome huko huko...
 
Back
Top Bottom