Hivi mtu akiwa na shida mbona hamusaidii??

Hivi mtu akiwa na shida mbona hamusaidii??

Samaki mkunje

Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
9
Reaction score
5
Watu wanashida kama mimi mnatukejeli na maneno yakujishaua mnayatoa sasa kumuhitaji mganga ni mbaya ?? Mnajua ila kuja PM NDIO TABU KUWAELEKEZA WENGINE ACHENI ROHO MBAYA
 
Mkuu unaitaji mganga aina gani ,maana Mimi nipo nao wengi au kama jambo jepesi nakuelekeza hapahapa
 
Back
Top Bottom