Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Formula yangu ipo hivi yaani hata nikimtumia Demu shilingi hamsini huwa naandika kwenye kitabu changu cha kumbukumbu,kabla na hata ya dating,ikifika tu laki moja(100000)imetumika chini ya miezi...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kibongo bongo nimekuwa muumini mzuri wa nyimbo za kufoka foka na shabiki mkubwa wa wasanii wanaorap, HIP HOP imekua harakati yenye maneno yaliyo na maana iliyojificha inayokutaka utulize sana...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
1.Aliemuacha MWANAUME ambae alimgharamikia na kumpenda sana ila yeye akamuacha na kumng'ang'ania mwanaume mwingine. 2.Mwanamke mwenye mdomo sana..yani muongeaji too much 3.MAJIGAMBO,,,Anaejiona...
19 Reactions
99 Replies
17K Views
Kabla hujaamua kufanya commitment kwa mtu either kuolewa au kuoa make sure unafahamu vema kuhusu familia anayotoka, vijana wa leo tunaweza kupinga hili ila wazee wetu waliona mbali, kuna familia...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Ewee mwanaume mwenzangu kama unajijua hela yako ni ya mawazo kama ilivyo Mimi basi epuka kujiingiza katika mahusiano na mwanamke masikini ? Mwanamke masikini katika mahusiano ana mahitaji mengi...
4 Reactions
78 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Nina mdogo wangu amemaliza form six na kwa matokeo ya juzi amepata EED ya PGM na kwa utaratibu ulivo Sasa hawezi kupata admission ya kwenda chuo. Nilikuwa na option mbili ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
binafsi sipendi sana kuzungumzia aina flani ya mambo lakini nadhani si mbaya kama nita share nanyi sababu sifahamiki kwa any of you. ni miaka kadhaa sasa nipo ndoani .lakini kuna shida kiasi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuja kwenye jukwaa ili niweze saidiwa jambo hili maana ni muda limekuwa likinisumbua sana. Nilikuwa na rafiki yangu ambaye alikuwa kama ndugu. Rafiki sana kiasi kwamba kila mtu alikuwa...
14 Reactions
116 Replies
14K Views
Wakuu kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake na wanaume kupenda kutoa tamu zao ovyo ovyo kwa watu tofauti tofauti. Wenyewe wanaitwa casual sex, wengine wanaitwa one night stand na wengine FWB. My...
17 Reactions
106 Replies
11K Views
Nikipenda huwa najaribu kupunguza kidogo ubahili kwa siku za mwanzoni ili nisionekana nakwama wapi! Sasa kitu nachofanya namnunulia Demu zawadi ambayo Nina uhakika atapenda coz huwa nafanya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Aseeeeeeeee!! Mimi ndmi. Niite DAKTARI WA MANESI. EEEbanaae! Comrade kama comrade nasemaje! Nyie wanawake wabaya ambao hamna mvuto mko mko tuu kama sufuria ya ugali, tafuteni sana pesa maana ndio...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
1. amka asubuhi mapema nenda kafanye zoezi..fanya sana zoezi ila isiwe ndo siku ya kwanza. halafu pika mchemsho wa samaki,carrots ,hoho,vitunguu na tangawizi. uwe na chapati nzuri,kubwa na laini...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi...
4 Reactions
65 Replies
8K Views
Hatari sana. Hii ndo fahari ya Africa... African beauty ndo hii... Sisi wazee wa Mizigo... Sisi wenye pumzi Tank achana na wale wa pumzi debe. Sisi wazee wa Iende irudi. Wazee wa Kukamua, Wazee wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Afya yangu iliyumba kidogo nikapata jipu sehemu ya kukalia.it was the first time napata jipu in my life. Hii kitu ilinichanganya maana nikawa nashindwa kukaa comfortably. Nikatia team moja ya...
15 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wakuu Kuna binti alikuja home miezi kadhaa nyuma baada ya kumaliza O level kwa ajili ya maandalizi ya Advance kwani alifaulu Sasa baada ya kuzoeana alianza kuonesha interest tofaut tofaut...
2 Reactions
147 Replies
11K Views
Tuwe makini na wapenzi wetu,wengine huwa wanagundu...ukishakuwa naye tu, mawazo yako yote ya kimaendeleo yanafutika;kama ulikuwa unataka kuanzisha kiwanda kidogo,wazo linapotea na kujikuta...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wangu wa bure kwa kina dada. Mwanamke unapaswa kuepuka haya makosa ambayo hua mnayafanya bila kutegemea au kwa kudhamiria na mwisho wa siku wengi wenu huishia kulia. Haya ndio...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom