Yaani ni inamtaka babake kila dakika, hadi sasa nimesema kama noma na iwe noma. Mwenzangu nivumilie tu bado miezi 4 nitashusha inshaallah. Mtoto wa mwenzio ni mwanao.
Nimepata wazo leo wakati tukiwa tumejumuika vijana kikundi kidogo cha wakazi wa K-Nyama, tukizungumza na kupeana ushauri kuhusu maswala ya ndoa na nimeona nishirikishe moja ya ushauri wangu humu...
Nmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.
ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku...
Katika maisha Haya Ya Mahusiano, Nimejaribu Sana kwa Muda Mwingi Kuchunguza Swala La *Mahusiano ya Mume na ndugu zake Baada Ya ndoa*
Na, Mahusiano ya Mke na ndugu zake Baada ya ndoa.
Kitu...
Wakuu miezi km mitatu iliyopita nilikumbwa na janga kidogo liharibu ndoa yangu.
Ilikua hivi: Mi nakaa mbali kidogo na mke wangu, na mke wangu anafanya kazi Dar.
Sasa sisi wanaume wa Kolomije huwa...
SALAAM WAKUU.
*Aisee moyo mashine wazee!!!
♡Kwanza nilikuwa siamini kama bado kuna watu wanazimia kwa stress za fumanizi.
☆Kuna jamaa yangu (tunafanya kazi pamoja) nilipigiwa simu j.3 jioni...
Asee nilikuwa na ka demu kangu pale TPSC Tabora, mwaka 2010 kakawa kanafanya graduation, akanipa invitation,
Baada ya kufika tukasherehekea na jioni kuna ukumbi wa zamani mbele ya chuo, wenyewe...
Mke wangu amekua akisifiwa sana na mashost zake mpaka dada zake eti mumeo handsome afu Mimi nikijicheki najiona wakawaida tu lakin kumbe wakiniona wanalowesha chupi kudadeki
Staili ya kufanya mapenzi ina umhimu wake katika upatikanaji; kwa hizo staili ngumu mnazofanya ipo siku mtazaa ngamia.
Pamoja na hayo; KIFO CHA MENDE ndiyo inayotajwa kuongoza kuwa ni staili...
Jana binti yake na kagame aliolewa picha zinaonesha .lakini hapa kilichonivutia zaidi n kimo cha mkwewe kagame bw.betrand ,kwa anajemjua kagame n mrefu haswaaa sasa hyu mkwewe kamzid tena najaribu...
Mchumba alishaoa ndoa ya Roma na kupata watoto. Wameachana na mke na watoto ni wakubwa. Changamoto iliyopo
1. Ndoa ya Roma haina talaka nitaweza kuolewa na huyu mwanaume?
2. Bado anazaa pete...
Hii tabia ya kuweka hela kwenye vifua vyenu(matiti) siyo njema, inakera na inatia kinyaa sana NA PIA INACHAKAZA NOTI. Unakuta unamlipa mwanamke pesa anaikunjakunja anaitia kifuani na chenchi...
Nililewa Sana nikapata tabu kuvunja amri ya sita.
Kila nikitumbikiza shimo linatema nje, kiboo kikawa labda nikikishika, kilivyofanikiwa kusimama likawa kubwa nene halikushuka, mpaka asubuhi...
Sister, If your boyfriend is cheating on you, cry no more.
Steal his phone oneday, copy the other girl's number, call her and act like you're his sister.
Then thank her for encouraging him to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.