April Jr
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 244
- 1,233
Kibongo bongo nimekuwa muumini mzuri wa nyimbo za kufoka foka na shabiki mkubwa wa wasanii wanaorap,
HIP HOP imekua harakati yenye maneno yaliyo na maana iliyojificha inayokutaka utulize sana kichwa mpaka kung'amua tafsiri yake,
Kama kuna wenye utata twende sawa tupia mstari wa shairi linalokupa utata ili wakuu wakupe tafsiri chaaap!
Twende sawa.......!!!!
Kuchinja NG'OMBE kwa ajili ya NGOZI tu Haiwezekani