Ni mara nyingi nimekuwa disappointed na Zawadi

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Nikipenda huwa najaribu kupunguza kidogo ubahili kwa siku za mwanzoni ili nisionekana nakwama wapi!
Sasa kitu nachofanya namnunulia Demu zawadi ambayo Nina uhakika atapenda coz huwa nafanya research before!,sasa Mara kadhaa adha iliyonikuta unakuta umepanga kumfanyia surprise baada ya kununua zawadi unampigia Demu ili mkutane ili umkabidhi zawadi yake bila kumwambia kama utamkabidhi hiyo zawadi!
Sasa hapa ndio mwanamke anaanza kuzingua Mara nipo busy ,Mara mama sijui kafanya nini,Mara nitaangalia kama nitapata muda, Mara tuonane weekend!
Najikuta jazba zimenipanda naamua nimpe zawadi Demu yeyote nitakayekutana nae siku hiyo!
 
Back
Top Bottom