Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,095
- 2,429
binafsi sipendi sana kuzungumzia aina flani ya mambo lakini nadhani si mbaya kama nita share nanyi sababu sifahamiki kwa any of you.
ni miaka kadhaa sasa nipo ndoani .lakini kuna shida kiasi flani katika ndoa ambayo inanipa hard time sometime.
shida kubwa ni kuwa mke amekuwa akilalamika kuwa nachelewa sana kumaliza yeye anaweza kuwa ameshamaliza mara kadhaa lakini mimi nikawa bado sioni hata dalili za kumaliza.suala hili limekuwa likisababisha sometime nabaki hivyo hivyo bila kumaliza maana baadaye anaanza kulalamika kuwa yeye amemaliza mpaka sasa amekauka so nimwandae upya. naweza fanya hivyo tukachukua dk 5-10 akamaliza mimi nikawa bado.
hapo tena anakuja anakauka au anaanza dai anaumia .mimi akishasema anaumia siwezi tena kuendelea na mchezo.sasa najiuliza shida yangu itakuwa ni nini? maana ni miaka mingi sana na tatizo haliishi kiasi kwamba naanza kuwaza mambo mengine ambayo sitaki yaje kutokea kwenye ndoa yangu.
nini inaweza kuwa chanzo cha mimi kutomaliza kwa wakati kila napofanya tendo. maana jambo hili nlianza kulalamikiwa zamani na wapenzi nikiamini nikija oa basi litaisha sababu ntakuwa napata huduma kila siku.imekuwa kinyume. bado nakumbana na changamoto hii sometime hata napokuwa ofisini najikuta uume umesimama mpaka unauma sana.
wakati mwingine hulazimika kukaa hata kama ntahitajika kuinuka sababu napoinuka mtu anaona kuwa mashine imesimama. jambo ambalo si zuri pia. lakini zaid zaid nimekuwa nikijisikia maumivu inaposimama kw amuda mrefu pasipo kupata huduma yake.kwa wenye uzoefu nifanye nini kuepukana na matatizo haya nayoyapata?