KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,352
.
Hapo sasa aliyeuziwa chain kauziwa chain bandia na aliyetoa hela naye katoa pesa bandia, hapo watoto wa mjini tunasema ngoma droo.Waoaji/waolewaji mnayoyatenda sio mnayoyatangaza kwa lugha fupi hamna umaterial wowote zaidi ya unafiki.
Waolewaji wanatafuta waoaji wa kuwabadilishia maisha yao Huku waoaji wengi wamekuwa wazembe hali ni ngumu.
Hakika ni maajabu sana..!We hushangai kanisani wanaweka wanatafuta waume wa kuwaowa na wakati huo huo wapo wanaume kibao katika kanisa hili hilo wanatafuta wanawake wa kuowa
Asante kwa ujumbe mzuri
Ni shida.