Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,778
- 61,438
Tuwe makini na wapenzi wetu,wengine huwa wanagundu...ukishakuwa naye tu, mawazo yako yote ya kimaendeleo yanafutika;kama ulikuwa unataka kuanzisha kiwanda kidogo,wazo linapotea na kujikuta unatumia hadi mtaji uliokuwa nao, kwa matumizi ya kawaida.Nasisitiza ili tufanikiwe zaidi tuwapende wapenzi wabahili wasioshawishika na vitu vya anasa anasa ili kutimiza ndoto zetu.