Hata nikimtumia mwanamke shilingi hamsini!

Hata nikimtumia mwanamke shilingi hamsini!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Formula yangu ipo hivi yaani hata nikimtumia Demu shilingi hamsini huwa naandika kwenye kitabu changu cha kumbukumbu,kabla na hata ya dating,ikifika tu laki moja(100000)imetumika chini ya miezi sita basi nakupiga chini maana hufai kwa afya ya uchumi wangu na maendeleo yangu kwa ujumla!
Unadhani Simu used napata faida bei gani?

Noted
 
Kujihami ni muhimu sana....hivi vitu vinafilisi sana
 
Natembea na wazee wewe vijana wa nn kama unataka mkwanja wale wazee ambao hawalali chumba kimoja na wake zaoo alafu Kitandani hawawez kazi huwa wanapigia nyeto papuchi anakupalaza tu na kidudu ili mrad afike kitonga wanajua kutoa helaaa hatari
Hao mnaowapiga laki tano mnawakutaga wapi....sisi watoto wa mjini unaishia tu kukopwa na kupigwa free p
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mwaga pesa broooh
 
Natembea na wazee wewe vijana wa nn kama unataka mkwanja wale wazee ambao hawalali chumba kimoja na wake zaoo alafu Kitandani hawawez kazi huwa wanapigia nyeto papuchi anakupalaza tu na kidudu ili mrad afike kitonga wanajua kutoa helaaa hatari
Kama ni hao maajuza kweli lazima wahonge tu...lakini kwa sisi vijana hatuhongi...sisi tutakubembeleza mpaka utajikuta tu umeitoa imeliwa bure....na ukishathubutu kuitoa tuna namna ya kuila mpaka wewe mwenyewe unaileta tena kesho yake bila kuomba...shahidi wewe mwenyew leo umetoka kutuletea uzi namna mtu alivyoitafuna mpaka kukufikisha kunako...mtu kama huyo bila shaka ataendelea kuinjoy free services
 
Back
Top Bottom