Kabla Hujataka Kuoa Zingatia Huu Ushauri

Kabla hujaamua kufanya commitment kwa mtu either kuolewa au kuoa make sure unafahamu vema kuhusu familia anayotoka, vijana wa leo tunaweza kupinga hili ila wazee wetu waliona mbali, kuna familia 'ukiunga nao undugu' hutoboi mazee, kila baya litakufuata, watu wana 'maagano' yao!
Kuhusu ukoo(nasaba) hapo ni sawa kuangalia, ila mambo ya mikosi nakaa pembeni katika hilo
 
Kabla hujaamua kufanya commitment kwa mtu either kuolewa au kuoa make sure unafahamu vema kuhusu familia anayotoka, vijana wa leo tunaweza kupinga hili ila wazee wetu waliona mbali, kuna familia 'ukiunga nao undugu' hutoboi mazee, kila baya litakufuata, watu wana 'maagano' yao!
Unaoa familia unaoa mwanamke?.. Alafu hakuna koo isiyo kuwa na shida zake bhana usijidanganye
 
Ungesema kabla haujaoa/kuolewa. Kwani wanawake hawahitaji kujua familia zenu?
 
Back
Top Bottom