Katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,124
5,719
Basi juzi nilikuwa na pita bhana kuelekea shule akatokea kijana mtanashati nikasema loh ni viben ten au nini kidogo akawatu amuita ni kasichana fulani kachotara .
Baby baby yule kaka akasema what ???
I love you jamani katoto kazuri nenda shule salama.
Akampatia kimfuko kinachonukia kuangalia kumbe vitafunwa na supu tu nzuri ya kuku.
Nikawaza bado kunawatu wanajaliana kiasi hiki?
Ila yule kaka alikuwa handsome sana ila kakosa kitu kimoja usafiri.
Huwa mtu kama hana usafiri mmh! Unakaa pembeni kabisa unafunga zipper yako.
Halafu bado mwanafunzi.
So huwezi wekwa mtu baki.
Ila alikuwa ka handsome kweli.
Natupogi majirani muda nikitoka anatoka.
Mkewe ni mkubwa kiumri mf.25 kahandsome mkewe 34 au 36 so ninawaza haya maisha yao ila hadi wameona wanawezana.
Basi tu yangu macho sitaki dhuluma.
Ila hata hako katoto kao combination yao ni amazing katoto kanamiaka miwili so amazing kazuri balaah!.
Je kuna mtu humu anayepewa msaada na mkewe kwa lolote kwa maana huyo mdada anampa kila kitu yule jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha uliyoandika ilitaka kabisa kufanana na kiswahili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
katoto kazuri kumbe ulikua unanifatilia eeeehhhh.
Kwa hio uliona vitafunio mpk ile supu ya kuku jamani.
Daaahhhh haya banaaaa basi hapo ukatamani nizae na wewe katoto kazuri kama kitoto changu.

Maendeleo hayana chama
 
Basi juzi nilikuwa na pita bhana kuelekea shule akatokea kijana mtanashati nikasema loh ni viben ten au nini kidogo akawatu amuita ni kasichana fulani kachotara .
Baby baby yule kaka akasema what ???
I love you jamani katoto kazuri nenda shule salama.
Akampatia kimfuko kinachonukia kuangalia kumbe vitafunwa na supu tu nzuri ya kuku.
Nikawaza bado kunawatu wanajaliana kiasi hiki?
Ila yule kaka alikuwa handsome sana ila kakosa kitu kimoja usafiri.
Huwa mtu kama hana usafiri mmh! Unakaa pembeni kabisa unafunga zipper yako.
Halafu bado mwanafunzi.
So huwezi wekwa mtu baki.
Ila alikuwa ka handsome kweli.
Natupogi majirani muda nikitoka anatoka.
Mkewe ni mkubwa kiumri mf.25 kahandsome mkewe 34 au 36 so ninawaza haya maisha yao ila hadi wameona wanawezana.
Basi tu yangu macho sitaki dhuluma.
Ila hata hako katoto kao combination yao ni amazing katoto kanamiaka miwili so amazing kazuri balaah!.
Je kuna mtu humu anayepewa msaada na mkewe kwa lolote kwa maana huyo mdada anampa kila kitu yule jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh nimepoteana kwa huu uzi, huenda mi ndio sielewi au mwandishi ni mpumbavu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom