Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,783
- 61,446
Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
Hapana.Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
ha ha ha kwa nini mkuuKweli kuanzisha uzi ni kazi nyepesi sana.
Unakuta mwingine alikuwa na mzozo na mwenzake,akaja huku akilia lia kuomba ushauri;mwisho wa siku hatujui waliendelea pamoja au kutengana.....wakiwa wanaleta mrejesho itatusaidia sisi wachangiaji kujua tunashauri pumba au pointi.Hapana.
sio sahihi.Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
Kuomba ushauri sio jambo baya, ama naweza nikafananisha na kikohozi kinapo kubana zaidi.Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
Na wewe ulete mrejeshoKuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
ndiyo.Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?