Ukiona dem haujawahi kuonana nae halafu ukimuuliza muonekano wake anatoa kauli kama,binadamu wote ni sawa, kimbia kama upepo

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Wakuu kuna dem nawasiliana nae huu mwezi wa pili sasa yupo huko mtwara kijijini,kwahiyo hana smart phone huko ni mwendo wa vitochi tu, ila nikimuuliza aniambie yupoje ananiambia anamshukuru mungu kampendelea hatak kumkufuru mungu,ananiambia juu ni mwembamba ila kuanzia kiunoni kushuka chini ndo kanenepa,yaani anajiamini sana,sasa wadau kwa uzoefu wenu ntakuwa nimelamba dume kweli au galasa
 
Hahahaha....

Mimi huwaga nawaulizaga kuwa sura na mwonekano wako ni kama musanii yupi wa kike wa bongo fleva au bongo movie?

Akijibu muonekano wake kama wa lulu au lulu diva au oprah

Huwa navua pumzi kidogo then najiaminisha kuwa yaliyo yamo.
 
Huenda akawa anasema kweli... Kama yupo na hiyo shep ya kitunguu, utakuwa umelamba dume... Choma nauli uende ukamtembelee day one!

,ananiambia juu ni mwembamba ila kuanzia kiunoni kushuka chini ndo kanenepa,yaani anajiamini sana,sasa wadau kwa uzoefu wenu ntakuwa nimelamba dume kweli au galasa
 
Hahahaha....

Mimi huwaga nawaulizaga kuwa sura na mwonekano wako ni kama musanii yupi wa kike wa bongo fleva au bongo movie?

Akijibu muonekano wake kama wa lulu au lulu diva au oprah

Huwa navua pumzi kidogo then najiaminisha kuwa yaliyo yamo.
Mimi akisema kama malaika roho yangu kwatu.
 
Back
Top Bottom