Wanaume walio rijali pokeeni hii nywila

Wanaume walio rijali pokeeni hii nywila

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,972
Reaction score
35,199
Nawapa hii password.
Wanawake wanakereka sana, pale inapotokea ni mkeo au mchepuko wako, (ngoja ni base kwa mchepuko).

Siku hiyo mwanaume umejitutumua umelala na huo mchepuko, yaani mmeamua kuchukua room au sehemu yoyote ile ambayo siku hiyo mmepanga mtalala usiku wote hadi asubuhi mkiwa wawili.

Mmefanya cha kwanza (mapema tu), mjue mnakera sana, inafika saa nane usiku hata muda mwingine ambao wote usingizi umewapatia, halafu wewe mwanamme rijali unastuka usingizini, wakati huo unahitaji la kutaka ku "do" tena, sasa kero inakuja pale UNAPOANZA KUIMBISHA UPYA, kwa mfano... Nakwede, Nakwede, naomba unipe mambo!!!!!! 🤬🤬🤬🤬🤬, Au hata kile cha asubuhi, eti unaomba "nipe mpenzi wangu!!!
Inakera sana. Kuna sababu gani ya kuniomba tena, mnashindwa nini kuanza kucheza tu na mwili wa mwanammke hadi ajue kwamba "unataka"?

Ya nini kuanza kuomba upya utadhani ndio tunatongozana! mnatutoa kwenye stimu bwana!!!! Cheza na mwili wangu sio kuniomba utadhani unaomba karanga!!!

Povu ruksa, nikafulie nguo zangu wikiendi hiii
 
Nawapa hii password.
Wanawake wanakereka sana, pale inapotokea ni mkeo au mchepuko wako, (ngoja ni base kwa mchepuko).

Siku hiyo mwanaume umejitutumua umelala na huo mchepuko, yaani mmeamua kuchukua room au sehemu yoyote ile ambayo siku hiyo mmepanga mtalala usiku wote hadi asubuhi mkiwa wawili.

Mmefanya cha kwanza (mapema tu), mjue mnakera sana, inafika saa nane usiku hata muda mwingine ambao wote usingizi umewapatia, halafu wewe mwanamme rijali unastuka usingizini, wakati huo unahitaji la kutaka ku "do" tena, sasa kero inakuja pale UNAPOANZA KUIMBISHA UPYA, kwa mfano... Nakwede, Nakwede, naomba unipe mambo!!!!!! 🤬🤬🤬🤬🤬, Au hata kile cha asubuhi, eti unaomba "nipe mpenzi wangu!!!
Inakera sana. Huna sababu gani ya kuniomba tena, mnashindwa nini kuanza kucheza tu na mwili wa mwanammke hadi ajue kwamba "unataka"?

Hongera kwa kufunguka Mama.
 
Dah hii kweli no kuomba ni vitendo tu mtu ataamka mwenyewe n ataachia mzigo bila hiyana .
 
Mtoa mada inaonekana jamaa yako mzinguaji kwa nini hataki kucheza na mwili wako anakuogopa utafikir dada yake, ila safiiiii umewatoa ushamba wadau
 
tehe tehe tehe tehe, story za saluni hizo. hahahahahahahahaaha
 
Back
Top Bottom