Mwanamke mwenye sifa zifuatazo karibu uanzishe uhusiano wenye malengo na mafanikio makubwa nami

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kama unajijua una hizi sifa kiuhalisia nakukaribisha....

Mcha Mungu sana na unaishi Kimungu na una Hofu nae​
Kipaumbele chako siyo Hela, Mali au Kazi kubwa kwa Mwanaume bali ni Utu, Uaminifu na Upendo​
Huna Dharau kwa Mwanaume ambaye hana Kipato au unamzisi Kipato​
Mvumilivu mno na uko tayari Kushirikiana nae au Kumpambania katika Maendeleo yenu​
Huna Unafiki na una Ubinadamu mkubwa ndani ya Roho yako na Moyo wako​
Uko tayari Kupima VVU/UKIMWI zaidi ya Hospitali tatu tofauti na kila Mtu atachukua majibu ya mwenzake​
Unajua Kupika, Msafi sana na humbagui Mtu kwa sababu ya Dini yake au Kabila lake​
Siyo Mroho na Mchoyo​
Mwenye Huruma hasa pale ukiona kuna Wanadamu wengine wanahitaji msaada​
Unaweza Kumbadilisha Mwanaume Kitabia na Kumuongoza vyema kabisa​
Unaweza Kuishi Maisha yoyote yale yawe ya Shida na Raha kama yakitokea​

Kwa aliye tayari namkaribisha kuanza Mawasiliano nami kupitia Email ya muyinzitasumba@gmail.com

Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom