Nahitaji mke

Nahitaji mke

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,883
Reaction score
13,631
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa,
Sisi wana-JF ni familia,tunaweza kusaidiana kwenye shida kama vile ugonjwa,misiba na hata kwenye mambo mengine ya kifamilia

Nimerudi kwenu tena kwa mara nyingine,naomba mtu yeyote mwenye ndugu au rafiki mwenye sifa zifuatazo basi tuwasiliane pm (natafuta mke mwenye sifa zifuatazo)

1.Awe amemaliza/kuhtimu chuo kwa fani yoyote lkn, asiwe na kazi (awe bado hajaajiriwa)
2.Kama anatumia pombe siyo vbaya lkn, asiwe mlevi
3.Dini yoyote
4.Umri ni kuanzia 18yrs-30yrs
5.Itapendeza kama atakuwa kanda ya ziwa
6.Kama atakuwa na mtoto mmoja siyo mbaya (nipo tayar kumlea)
7.Nitafuata taratibu zote za ndoa halali lkn,hatutafanya harusi

NB:Mimi ni mwajiriwa wa serikali
Asanteni sana!
 
Haya sasa
Mliodisco chuo mkae mbali na huu uzi

Halafu namba 7 nimeipenda sana...Mungu akujaalie upate mke mwema
 
Haya sasa
Mliodisco chuo mkae mbali na huu uzi

Halafu namba 7 nimeipenda sana...Mungu akujaalie upate mke mwema
Asante sana,Mungu akuongezee hekima na utajir zaidi ya Suleiman!
 
Inamana uko sokoni, road, kanisani, msikitini, disco, bar na kwengineko umekosa mke sasa uku utapaweza kweli
 
Morocco got 9 points and they are out.
Egypt got 9 points and they are also out.
Benin got 3 points and they are in to the quarter finals.
South Africa got 3 points and they are in to the quarter finals.


*Honestly if we tell these girls not to judge a man by his first round they think we lie*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom