Hivi hawa wanawake wanataka nini?

Hivi hawa wanawake wanataka nini?

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
477
Reaction score
521
wana jf yamenikuta kuna mwanamke nina mahusiano nae hela ya kula nampatia inshort majukumu yote ambayo anaitaji nampatia sio mchoyo kwake cha ajabu kuna kauli kaongea sijaipenda mpka saiv nafikilia nipige chini ama sipati jib,,,,kasema ivi bado hajaona mwanaume wa kuishi nae tukikaa nae ndani siwez kumlea kwakwel. nikamuuliza kama hela nakupa, mapenz tunafanya unalizika kajib ndio mpaka saiv sielew anataka nini alafu anasema hajaona bado umuhim wangu kwake nikimwambia bas kila mtu ale hamsin zake hatak kuniacha nisaidieni wadau
 
Kwa sababu inaonekena wewe siyo real man ndo maana anakudharau, kwa nini unakuja kulia lia hapa usipoelewana na demu wako? real man hutatua tatizo, inavyoonekana hauwezi kutatua matatizo na haujui unataka nini maishani hasa kwenye swala la mahusiano ndo maana unapoteza muda na Mwanamke anayeonekena hana mapenzi na wewe.

Mimi naweza kukupa kozi jinsi ya kuwa real man, na ukifuzu hutahangaishwa na Wanawake tena, bali wao ndo watakuwa wakitafuta ushauri jinsi ya kuweza kuishi utakavyo wewe na siyo kinyume chake kama ufanyavyo sasa hivi huo ni udhaifu, na Wanawake hawapendi wanaume dhaifu na ukiendelea hivi utarudi hapa kulia tena kwamba amekumwaga.
 
Kwa sababu inaonekena wewe siyo real man ndo maana anakudharau, kwa nini unakuja kulia lia hapa ukigombana na demu wako? real man hutatua tatizo, inavyoonekana hauwezi kutatua matatizo na haujui unataka nini maishani hasa kwenye swala la mahusiano ndo maana unapoteza muda na Mwanamke asiye na mapenzi na wewe.

Mimi naweza kukupa kozi jinsi ya kuwa real man, na ukifuzu hutahangaishwa na Wanwake, bali wao ndo watakuwa wakitafuta ushauri jinsi ya kuweza kuishi utakavyo wewe na siyo kinyume chake kama ufanyavyo sasa hivi huo ni udhaifu, na Wanawake hawapendi wanaume dhaifu na ukiendelea hivi utarudi hapa kulia tena kwamba amekumwaga.
nipe maujuzi mkuu ndo maana nikasema nataka ushaur binadam hatufanani akili unaweza nipa ushaur na ukafanya kaz
 
Back
Top Bottom