Machakoz
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 369
- 201
Habari zenu JF.!
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni.
Kuna sister mmoja aliniomba urafiki fb, nami bila kujivunga nikamkubali na kuanza kuchati nae inbox.
Baada ya kubadilishana sms kwa kipindi cha kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kutoka urfk wa kawaida mpk sms za mapenzi,kwa kuingizwa kaneno kale ka wapendanao, mara honey! Mara swt nk. Mwanaume sikutaka kujivunga nami nikawa nazijibu kwa ufanisi mkubwa.
Mwisho wa siku nikaanza kupigwa vibomu, mara bby nadaiwa kodi mama mwenye nyumba hataki kulipwa nusu hivyo naomba niongeze kama elfu 20 ili nikamilishe. Mara swt naomba kiasi cha laki moja mtaji wangu umekata, yaani ni shiiiiida. Mwanaume ikabidi nimblock na urafiki ukaishia hapo, mtu hatujaonana wala hatufahamiani vzr je mpk ikifika mwaka c atakuwa kishakufilisi?