Utafiti unaonesha kuwa wale wanandoa wanaovaa sare, mara nyingi nguo za vitenge, mwenye sauti kwenye ndoa hio ni mwanamke.
Mimi binafsi siwezi kuvaa sare sare na mke wangu. Je utafiti huu una ukweli gani? Nimesikia inajadiliwa redioni leo asubuhi