Hii ni kwa wanzinzi tu

Hii ni kwa wanzinzi tu

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
886
Reaction score
1,584
#NAKUMBUSHA_TU
#AMRI 6 ZA UZINZI:

1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwa ili uuliwe fala wewe.

2. Usitumie gari yako inayofahamika, chukua Taxi, UBER, bajaj au boda boda kuku wewe.

3.Usiandikishe jina lako sahihi ukiwa gest, tafuta jina bandia, andika hata Kinjekitilie Matinginya ng'ombe wewe.

4. Funga chumba na funguo kwa ndani ikiwemo komeo, ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo boya wewe.

5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume kuangalia usalama, baada ya dakika 10 ukiona usalama, ndipo umruhusu mchepuko naye atoke, wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha nyumbani panya wewe.

6. Mungu akuumbue, ukamatwe na upigwe hadi ufe pumbavu wewe. Kwani wanawake wengine hujawaona mpaka udandie mke wa mtu? 😝
 
MARUDIOOO

MARUDIOOO

Ahsante kumbe ilishapitiwa humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom