Mtwara ni maeneo yapi ya kujirusha na watoto wazuri

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Msaada jamani, Leo siku ya tano bado sijapata chimbo za hapa mtwara mjini. Maaneo ya kujirusha na yenye watoto wazuri sijaona, naomba anayepafahamu vizuri mtwara anijulishe nitie nanga,
 
Msaada tafadhari, watoto wa kununua wanapatikana maeneo gani
 
Mademu wa huko mambo ya kujirusha hawajui,wao wanajua tu kubangua korosho.
 
Achana na dada zetu nenda kaharibu dada zako huko ulikotoka mkuu
 
Msaada jamani, Leo siku ya tano bado sijapata chimbo za hapa mtwara mjini. Maaneo ya kujirusha na yenye watoto wazuri sijaona, naomba anayepafahamu vizuri mtwara anijulishe nitie nanga,
Nenda shooters bar karibu na uwanja wa Nangwanda Sijaona.Wahudumu wanavutia ni wa mikoa tofauti.Ila wenyeji wenye brevis,raum,vitz,harriers, premio,spacio,noah nk ndio maeneo yao ya kujishaua, majigambo mengi,mipango mingi,mashauzi mengi; matawi ya juu,wao babu kubwa, na vidharau fulani vya mbali.

Warembo wenyeji wa mkoa huo ni adimu halafu vifupi vifupi,sura haba,wanaongea hao kama ndugu zao wa kiume.

Kiwanda cha sementi ndio kimechangamsha mji.

Ntwara kucheleee!!!
 
Msaada jamani, Leo siku ya tano bado sijapata chimbo za hapa mtwara mjini. Maaneo ya kujirusha na yenye watoto wazuri sijaona, naomba anayepafahamu vizuri mtwara anijulishe nitie nanga,
1.Naf beach
2.Shooters
3.Kuna fukwe fulani hivi inamilikiwa na jeshi wenyewe wanaiita jeshini
 
Msaada jamani, Leo siku ya tano bado sijapata chimbo za hapa mtwara mjini. Maaneo ya kujirusha na yenye watoto wazuri sijaona, naomba anayepafahamu vizuri mtwara anijulishe nitie nanga,
Muulize mtu akuelekeze Coco Beach
 
Msaada jamani, Leo siku ya tano bado sijapata chimbo za hapa mtwara mjini. Maaneo ya kujirusha na yenye watoto wazuri sijaona, naomba anayepafahamu vizuri mtwara anijulishe nitie nanga,
Nenda Nafu Beach,Msemo Beach,Copa Cabana(club),kuna machimb mengne nmeyasahau,kuna chimbo la madem mpka jero unapata nikikumbuka jina nkwambia
 
Back
Top Bottom