Very few marriages live a happily ever after life

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1092302

Nilikua ninaangalia documentary ya ndoa ya Charles na Diana siku nyingi kidogo. Usiku kabla ya ndoa ndiyo wa mama watu wazima walimkalisha Diana na kumwambia mume wako ana uhusiano wa kimapenzi na Camilla. Wewe utakua mke wa ndoa na ikiwezekana utakua malkia Charles akiwa mfalme. Kwa binti wa miaka 18 aliyejua anaolewa na mfalme ajaye furaha ya ndoa ilimuishia pale.

Katika kuoa watu makini huangalia anamuoa mtoto wa nani, familia ikoje, wengine hata mapenzi yanakua hayapo lakini wanaangalia kuchanganya damu. Watoto wangu watakua na nusu ya damu ya ukoo flani na mgawanyo wa mali pia.

Kuna mama katika ile documenary ambae na yeye ni mke wa tajiri mmoja wa ma Lady alisema “ Diana was naive to let the situation slide away, she was the wife and she would have been the one to be seen in public with Charles and find her self a way to make happy when Charles is with Camilla”

So sometimes married people are aware of infidelities but they just keep the blind eye and focus on rising up the kids.
 
Bi kidude huu waraka wako hauna uhusiano wowote na familia ya mengi na Jacklin?.
 
View attachment 1092302

Nilikua ninaangalia documentary ya ndoa ya Charles na Diana siku nyingi kidogo. Usiku kabla ya ndoa ndiyo wa mama watu wazima walimkalisha Diana na kumwambia mume wako ana uhusiano wa kimapenzi na Camilla. Wewe utakua mke wa ndoa na ikiwezekana utakua malkia Charles akiwa mfalme. Kwa binti wa miaka 18 aliyejua anaolewa na mfalme ajaye furaha ya ndoa ilimuishia pale.

Katika kuoa watu makini huangalia anamuoa mtoto wa nani, familia ikoje, wengine hata mapenzi yanakua hayapo lakini wanaangalia kuchanganya damu. Watoto wangu watakua na nusu ya damu ya ukoo flani na mgawanyo wa mali pia.

Kuna mama katika ile documenary ambae na yeye ni mke wa tajiri mmoja wa ma Lady alisema “ Diana was naive to let the situation slide away, she was the wife and she would have been the one to be seen in public with Charles and find her self a way to make happy when Charles is with Camilla”

So sometimes married people are aware of infidelities but they just keep the blind eye and focus on rising up the kids.
Yule bi kidude ndio aliyewachagiza coz she's the last say of that family! Hata kwa mjukuu wake alishaanza kuleta longolongo, sema Harry alikomaa! So SAD.
 
Alianza kumuingilia Kate lakini Kate Misri wake mkubwa ni mama yake ndiyo maana info zake hazitoki hovyo
 
Ndoa nyingi hazina furaha hasa watu wanao oana sababu ya pesa au kazi nzuri au uzuri yani mara nyingi mmoja WaPo anakuwa hisia zake azipo apo ila zinalazimishwa sababu ya kitu flani
 
Mm naona migogoro mingi sana kwenye ufalme wa uingereza siku akiondoka uyu bibi kidude kama saivi Australia wanataka kutoa alama ya bendera ya uingereza kwenye bendra yao sema wamempa heshima bibi kidude, Scotland wajeuri wnataka kukimbia
Yule bi kidude ndio aliyewachagiza coz she's the last say of that family! Hata kwa mjukuu wake alishaanza kuleta longolongo, sema Harry alikomaa! So SAD.
 
Mm naona migogoro mingi sana kwenye ufalme wa uingereza siku akiondoka uyu bibi kidude kama saivi Australia wanataka kutoa alama ya bendera ya uingereza kwenye bendra yao sema wamempa heshima bibi kidude, Scotland wajeuri wnataka kukimbia
Canada ndiyo hawataki kuondoka
 
Ndoa nyingi hazina furaha hasa watu wanao oana sababu ya pesa au kazi nzuri au uzuri yani mara nyingi mmoja WaPo anakuwa hisia zake azipo apo ila zinalazimishwa sababu ya kitu flani
Matatizo hatuelewi kuwa life is short ipe roho kitu inapenda
 
Back
Top Bottom